Bitcoin Core 27.2 yatolewa
Toleo la 27.2 la Bitcoin Core linaziba race condition katika ugunduzi wa self-connect (#30394) na kurekebisha miito ya FillPSBT iliyorudisha complete=true kimakosa (#30357). Thread ya load block na scheduler sasa zinazimwa kwa mpangilio tofauti (#30435), na msimbo unajengeka kwa miniupnpc 2.2.8 na GCC 15.
Bitcoin Core
















